Wewe unagunduaje au unaenda kwa wataalamu wa ramli? ππInauma sana unapogundua rafiki yako anakuchawia
Kalpana Kalpana Kalpana nimekuita mara 3, umepatwa na nini hadi sikuoni huku umbumbumbuni?So tuishi kama tupo mafichoni?
Niache plz...hampendi kuniona nina furaha jamani...Kalpana Kalpana Kalpana nimekuita mara 3, umepatwa na nini hadi sikuoni huku umbumbumbuni?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mbona kujipa tabuuuππππNdiyo maana napendelea leo kilabuni naenda na sura yangu na kesho naenda nimevaa mask nabadili sauti basi nawachanganya wanakijiji mpaka raha sana
Ni katika kulinda usiri wangu dada ,hawa wanakijiji wakinizoea sana hawakawii kuniozesha wamama waoMbona kujipa tabuuuππππ
Mungu anaonyeshaWewe unagunduaje au unaenda kwa wataalamu wa ramli? ππ
Mkataba wetu hauvunjiki kirahisi hivyo na sikuachi ng'oo maana sitapata Makolokolo mwingine atayenipa kitu roho inapenda kama wewe π€πNiache plz...hampendi kuniona nina furaha jamani...
Tumewaachia jukwaaa mpk msimu uanze....πππ
Nyuma mwiko wa head....Mkataba wetu hauvunjiki kirahisi hivyo na sikuachi ng'oo maana sitapata Makolokolo mwingine atayenipa kitu roho inapenda kama wewe π€π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sawa tu hata wakisema umenipa limbwata wala sitajali hadi nifanikishe kazi niliiyopewa utopoloni...πNyuma mwiko wa head....
Dah maisha ya sasa mmejaa ubinafsi sasa msipotoka tutakaa na nani wapenda campany πππ
Wahenga "zimwi likujualo, halikuli likakwisha"Adui anayekufahamu ana nguvu kuliko asiyekujua, adui asiyekujua hajui aanzie wapi kukushambulia