Na hii inachangiwa na kutowekeana mipakaKwa sisi ambao tunatengeneza marafiki katikati ya harakati ni ngumu sana kukitana na hizi shida zenu vijana wa leo.Yan sie wengine hatuna time ya ku make friends nje ya shughul zetu.Kwa kifupi we dont make friends atall ila ni kaz ndio zinatukutanisha na wadau. So wote mnakutana kila mtu akiwa kwenye mapambana na mshare areas of interests tuu ..Muda wa kuonea wivu mafanikio ya watu unatoka wapi...Kila mtu yuko busy na issues.Mnawasiliana only when it is neccessary sio haya matabia yenu vijana kushinda kwa mwenzako daily na huna la maana ..hakuna cha msingi cha kuwafanya muonane kila wakat ndio maana mnaishiwa ya msingi ya kufanya mnajikuta mnaparamia agenda za kuchunguzana maendeleo yenu and finally roho za vijicho zinaanza.
Nitakupa mfano mmoja.
Week kadhaa Zimepita kuna member humu alipost uzi kuomba assistance ya kusaidiwa kwenye project yake humu.Nikamfuata private kuona how can i be of assistance lengo lilikua ni kuona kama naweza kuwa na inout zozote.
Tuka exchange contact akanitumia documentation na tukafikia tulipofikia.
Ikatokea kuonana bas nikam invite ofisin kwangu tukapiga story nyingine nying sana baada ya kumalizana na agenda ya msingi.
Nikamuelezea kuhus changamoto aliopata mwanangu inaitwa oestimalytes na kama bahat tu jamaa akanipa ushauri wa nguvu sanaa kwakua na yeye mdogo ake alipata shida kama hiyo..Akanielekeza mpaka madaktari wazuri wa hii kitu..
tuliongea menfi sana.
Sasa kama unakutana na friends wa ku share nao benefits, wivu utatoka wapi.Aki fail yeye ume fail wewe so unafikir utawaza nin kama sio kutaman kuona anafika mbali na wewe ufike mbali?
Popote ulipo May God bless youKwa sisi ambao tunatengeneza marafiki katikati ya harakati ni ngumu sana kukitana na hizi shida zenu vijana wa leo.Yan sie wengine hatuna time ya ku make friends nje ya shughul zetu.Kwa kifupi we dont make friends atall ila ni kaz ndio zinatukutanisha na wadau. So wote mnakutana kila mtu akiwa kwenye mapambana na mshare areas of interests tuu ..Muda wa kuonea wivu mafanikio ya watu unatoka wapi...Kila mtu yuko busy na issues.Mnawasiliana only when it is neccessary sio haya matabia yenu vijana kushinda kwa mwenzako daily na huna la maana ..hakuna cha msingi cha kuwafanya muonane kila wakat ndio maana mnaishiwa ya msingi ya kufanya mnajikuta mnaparamia agenda za kuchunguzana maendeleo yenu and finally roho za vijicho zinaanza.
Nitakupa mfano mmoja.
Week kadhaa Zimepita kuna member humu alipost uzi kuomba assistance ya kusaidiwa kwenye project yake humu.Nikamfuata private kuona how can i be of assistance lengo lilikua ni kuona kama naweza kuwa na inout zozote.
Tuka exchange contact akanitumia documentation na tukafikia tulipofikia.
Ikatokea kuonana bas nikam invite ofisin kwangu tukapiga story nyingine nying sana baada ya kumalizana na agenda ya msingi.
Nikamuelezea kuhus changamoto aliopata mwanangu inaitwa oestimalytes na kama bahat tu jamaa akanipa ushauri wa nguvu sanaa kwakua na yeye mdogo ake alipata shida kama hiyo..Akanielekeza mpaka madaktari wazuri wa hii kitu..
tuliongea menfi sana.
Sasa kama unakutana na friends wa ku share nao benefits, wivu utatoka wapi.Aki fail yeye ume fail wewe so unafikir utawaza nin kama sio kutaman kuona anafika mbali na wewe ufike mbali?
Mnawasiliana only when it is neccessary sio haya matabia yenu vijana kushinda kwa mwenzako daily na huna la maana ..hakuna cha msingi cha kuwafanya muonane kila wakat ndio maana mnaishiwa ya msingi ya kufanya mnajikuta mnaparamia agenda za kuchunguzana maendeleo yenu and finally roho za vijicho zinaanza".Kwa sisi ambao tunatengeneza marafiki katikati ya harakati ni ngumu sana kukitana na hizi shida zenu vijana wa leo.Yan sie wengine hatuna time ya ku make friends nje ya shughul zetu.Kwa kifupi we dont make friends atall ila ni kaz ndio zinatukutanisha na wadau. So wote mnakutana kila mtu akiwa kwenye mapambana na mshare areas of interests tuu ..Muda wa kuonea wivu mafanikio ya watu unatoka wapi...Kila mtu yuko busy na issues.Mnawasiliana only when it is neccessary sio haya matabia yenu vijana kushinda kwa mwenzako daily na huna la maana ..hakuna cha msingi cha kuwafanya muonane kila wakat ndio maana mnaishiwa ya msingi ya kufanya mnajikuta mnaparamia agenda za kuchunguzana maendeleo yenu and finally roho za vijicho zinaanza.
Nitakupa mfano mmoja.
Week kadhaa Zimepita kuna member humu alipost uzi kuomba assistance ya kusaidiwa kwenye project yake humu.Nikamfuata private kuona how can i be of assistance lengo lilikua ni kuona kama naweza kuwa na inout zozote.
Tuka exchange contact akanitumia documentation na tukafikia tulipofikia.
Ikatokea kuonana bas nikam invite ofisin kwangu tukapiga story nyingine nying sana baada ya kumalizana na agenda ya msingi.
Nikamuelezea kuhus changamoto aliopata mwanangu inaitwa oestimalytes na kama bahat tu jamaa akanipa ushauri wa nguvu sanaa kwakua na yeye mdogo ake alipata shida kama hiyo..Akanielekeza mpaka madaktari wazuri wa hii kitu..
tuliongea menfi sana.
Sasa kama unakutana na friends wa ku share nao benefits, wivu utatoka wapi.Aki fail yeye ume fail wewe so unafikir utawaza nin kama sio kutaman kuona anafika mbali na wewe ufike mbali?
Bado unakua hutatui tatizo la msing kijana.Staffs wenzako sio wa kupeleka nyumbani..kwa kufanya hivyo kunaongeza chance ya kuoneana wivu,kuchomeana na kusingiziana mambo ya uwongo.BINADAMU WA LEO TUMEKUA NA UNAFIKI MWINGI SANA.
shida kuelewa kwao huwa changamoto sana.Watalwambia unawapangia maisha na huku wameomba wenyewe ushauriHiyo paragraph akuelewe sana tena sana
Bwana Sir Midabwada asante imeifanya weekend yangu murua .Kuna mwanangu anapenda kunisimulia mambo yake na mipango yake. Juzi kanipiga kamba za kuwa na miradi ya kumtafuta Elon musk na idea zake akazisajili COSOTa. Nimemchunguza sana, lengo lake nimuonee wivu nimuone yeye jiniazi...
Toka nijue lengo lake yangu simwambii kabisaaaaaa. Huyu anaweza kuwa mwanga mana hii roho yake ya kichawi na kinafki
I agree mkuuNa hii inachangiwa na kutowekeana mipaka