Sisa Og JF-Expert Member Joined Apr 18, 2024 Posts 201 Reaction score 504 Dec 31, 2024 #1 Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa: Good One Civil War Sometimes I Think About Dying I Saw The TV Grow Rebel Ridge Kwa upande wa nyimbo, nako kuna hizi nyimbo tano nimezisikiliza sana. Shekhinah - Steady RCee - Knees And Bend Wizkid - Troubled Mind MG Ft Melo Vee - Dimensional Love Theecember - BLKN Naomba kuwakilisha
Habari wana JF? Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu. Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa: Good One Civil War Sometimes I Think About Dying I Saw The TV Grow Rebel Ridge Kwa upande wa nyimbo, nako kuna hizi nyimbo tano nimezisikiliza sana. Shekhinah - Steady RCee - Knees And Bend Wizkid - Troubled Mind MG Ft Melo Vee - Dimensional Love Theecember - BLKN Naomba kuwakilisha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 1, 2025 #2 Ngoja waje... Cc: Mahondaw