Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Nakubaliana na wanaosemaga JF ni kisima cha maarifa, kuna maarifa unaweza usiyapate pengine ila JF utayapata kutoka kwa watu wanaojua kuchambua vitu kutokana na experience na siyo ubabaishaji na pia siyo wachoyo wa maarifa.
Kwa upande wa teknolojia ya magari napenda niwashukuru hawa kwa kuniongezea maarifa, hawa viumbe wanajua kuchambua magari asee:
RRONDO - huyu hanaga ushabiki wa brand za magari, yeye anasifia magari kutokana na performance ya gari husika bila kuangalia lipo kwenye brand gani, hahukumu brand nzima
9.8ms squared - mzee wa kukandia magari ya wajapani
Extrovert - mtetezi wa magari ya wajapani
Bavaria - mzee wa Bimmer
ISO M.CodD - huyu anajisemeaga wajerumani wasimbambaishe anatunishianaga nao misuli hivyo hivyo na Fuga yake na wanamkoma haha
Kwa upande wa teknolojia ya simu napenda niwashukuru hawa kwa kuniongezea maarifa, hawa jamaa wanajua kuchambua simu nje ndani:
Chief-Mkwawa - huyu jamaa naye hanaga ushabiki wa brand za simu, anasifia simu kutokana na performance ya simu husika na hahukumu brand nzima kama wengine
racka98 - huyu pia yuko vizuri
reyzzap - huyu jamaa aliwahi shusha nondo kuhusu carrier-unlocked phones alienda deep na alifafanua vizuri sana
Kwa upande wa saikolojia napenda kumshukuru Da'Vinci
Kwa upande wa biashara napenda kumshukuru CONTROLA
Ni watu wengi ambao nimepata maarifa mengi toka kwao humu ila siwezi kutaja wote kwa leo nimeona niwataje hao, siku nikipataa wasaa nitaanzisha uzi Niwataje wooote.