Hivi ile sheria ya mwanamke kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja imeshapitishwa?Kwa sababu naona huwa unanipiga maswali mimi pamoja na mwenzangu Babu Asprin kwa mpigo!
Maxence Melo ...Huyu mwamba kwa kufungua jukwaa hili lenye kila aina ya maarifa. Na kuruhusu watu kutumia Id fake hivyo watu kutema nyongo zao bila wasiwasi.