Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Tatizo mkuu Kwenye kiswahili hatuna'bl'Maini kwa maana herufi e ya mwisho huwa haisikiki ndio maana inasikika min, ukisababisha herufi e ya mwisho isikike basi ndipo neno maini litasikika
Kwenye table.... e ya mwisho inafichwa na kuishia kwenye bl pekee ndipo neno teibl husikika.
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Kwahyo teibl mswahili atataka aitamke teibli
Ndomana nkakuambia iyo 'o' ni ya muhmu kweny teibol