Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Mfano mzuri ni huu hapa. Chief napenda sana nieleze zaidi, kuna tatizo limeikumba simu yangu. Ndio maana nashindwa.
Ndugu [emoji116][emoji116][emoji116]kazisome hizo hutapata tabuView attachment 1326371View attachment 1326372

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
 
Wanafunzi wengi haya maneno huwa yanawashinda sana:
Desk wengi wanatamka deksi
Ask wengi wanatamka aksi (nadhani ni tatizo la kubwa la Kibantu, nimeona hata African Americans wengi wabatamka aks pia).
Lecturer wanafunzi vyuoni vwanachapia sana hili neno wanatamka lecture
Determine wengi wanasema detamaini badala ya ditamin
Examine wengi wanatamka ekzamaini badaka ya ekzamin
National wengi wanatamka neshno badala ya nashno
 
Kama ilivyo ada basi uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingereza ambayo yanakuchanganya kutamka, weka utasaidiwa humu.
1.. Worcestershire
2. Quinoa
3. Onomatopoeia
4. Anemone
5. Otorhinolaryngologist
6. Ignominious
7. Synecdoche
 
Kuna hili jina ni la mahali uko UK. Linaitwa Carlisle. Asee ambae atapatia kulitamka nampa vocha.

Ila kuna boss wangu kwenye kikao kila siku yeye chaos anatamka kama lilivyo badala ya 'keos' halafu gossip anatamka kama gospel. Huwa natamani nimfate private nimwambie anakosea ila nahisi anaweza kuniona mjuaji so namuacha na michapio yake.

Wapi wazee wa ditamaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…