Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Kamailivyo ada basi Uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingeleza ambayo yanakuchanganya kutamka ,,weka utasaidiwa humu.

Kiongozi, hivi kumbe Kiingereza huandikwa matamshi yake kinyemela hivyo? Hufahamu kuhusu IPA, Phonetic script, etc?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…