Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni neno mkuu, tena ni jina la ugonjwaHilo ni neno au sentensi
Are notHili neno sijui hata kirefu chake kinaandikwaje na hata maana yake siijui kabisa...hii lugha ndo maana wengi inatushinda,yan kinachoandikwa ni tofauti kabisa na kitamkwavyo....hatari sana
Front peijinatamkwa fronti peji
Front page
Hilo ni neno watu wa tiba wamelifupisha na kuwa Silicosis.Hilo ni neno au sentensi
ni neno mkuu!Hilo ni neno au sentensi
kiingelezaKamailivyo ada basi Uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingeleza ambayo yanakuchanganya kutamka ,,weka utasaidiwa humu.
Kamailivyo ada basi Uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingeleza ambayo yanakuchanganya kutamka ,,weka utasaidiwa humu.
Neno moja hilo....teh teh..Hilo ni neno au sentensi
Google press ya Lissu anavyoitamka, ndo inavyotakiwa.Bombardier
upo vizuri sana,mambo ya phonology hayoAcha kudanganya.
Inatamkwa 'pei:g'.
cake= 'keiki'
Nairobi flyNairobi fly-narrow bird fly" which is which