Weka pembeni pilau na biriani, nipike nini siku ya Chrismas na mwaka mpya siku iwe pambe?

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.

Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani,

Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya Xmass na mwaka mpya kuwa ya tofauti ila watu wakafurahia chakula.

Nipike nini mwenzeni nasubiri maoni yenu niwahi sokoni kutafuta.

Heri ya XMass na Mwaka Mpya kwa watakaojaaliwa kuuona.
 
Kunguru na kanga mzuri Nani?

Mziri kanga mwenye madoaaa AAA mzuri kanga mwenye madoa ana Ka k kadogo
 
Hiyo hapo mkuu. Sisi tumeshaanza huku.
FB_IMG_1671873388168.jpg
 
Tengeneza kitimoto rost na ndizi mzuzu za kukaanga. Mm ndio nasubiria hapa home vinanukia kishenzi menyu ya leo.

Kesho ugali maini rost na mboga za majani.
 
Asante
 
Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.

Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani,

Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya Xmass na mwaka mpya kuwa ya tofauti ila watu wakafurahia chakula.

Nipike nini mwenzeni nasubiri maoni yenu niwahi sokoni kutafuta.

Heri ya XMass na Mwaka Mpya kwa watakaojaaliwa kuuona.
Vya kizungu unaweza ama swahili dish tu?
 
Umenena hizo nyingne ni mbwembwe tu
 
Back
Top Bottom