Vya kizungu unaweza ama swahili dish tu?Mko poa? Kama ndio jambo jema na Nafurahi kwa ajili yenu wote kuwa na afya.
Imekuwa ni kawaida kama sheria kwa familia nyingi za hapa kwetu Tanzania ikiwa ni siku za sikukuu chaula ni pilau, ndizi, biriani nataka kubadilika jamani,
Naomba mnisaidie chakula kingine kitamu cha kufanya siku ya Xmass na mwaka mpya kuwa ya tofauti ila watu wakafurahia chakula.
Nipike nini mwenzeni nasubiri maoni yenu niwahi sokoni kutafuta.
Heri ya XMass na Mwaka Mpya kwa watakaojaaliwa kuuona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na maji ya kunywa mengiPika chakula cha kiizraeli waizraeli hawakuwahi kupika biriani
Ikiwezekana nunua mikate ikaushe juani kesho ule na samaki