Weka pembeni Usemaji, Manara anajua namna gani ya kupandisha hadhi ya Brand

Weka pembeni Usemaji, Manara anajua namna gani ya kupandisha hadhi ya Brand

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Kongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa.

Kongole Makolokolo kwa kuzindua App.

Manara ni mtu muhimu sana. Walio muweka pale wana akili sana.

Weka pembeni Usemaji, anajua namna gani ya kupandisha hadhi ya Brand.

Ni hayo tu.

Siku njema sana.
 
Mpira wa kupigana vijembe, kuitana majina ya hovyo na makelele ya kubwabwaja umeshapitwa na wakati kabisa.

Itaissidia nini timu kama mna msemaji wa kukashifu wengine huku wachezaji wenu wanashindia mahindi ya kuchoma wenzenu wanakula 5stars?

Vijembe bila ushindi wenzenu wanabeba makombe na kushiriki ligi kubwa?

Manara anafaa timu zile za NDONDO CUP na sio hizi za level ya juu
 
Mpira wa kupigana vijembe, kuitana majina ya hovyo na makelele ya kubwabwaja umeshapitwa na wakati kabisa...
Yaani sasa hivi Yanga wamekuwa kichekesho,wanawekeza kwenye propaganda badala kwenye Uwanja hadi kocha ameshaanza kuwastukia kuwa inahitaji miezi mitatu kupata muunganiko wa timu.
 
Mpira wa kupigana vijembe, kuitana majina ya hovyo na makelele ya kubwabwaja umeshapitwa na wakati kabisa...
mimi ni shabiki wa simba damudamu

ila katika hili nakukataa ,hakuna cha kypitwa na wakat wa nini ,mpira wetu wa bongo unahitaji kelele ,ubishani vijiweni na uchawi mwingi YANGA jaman wamejipanga sanaaaaa

hongereni watani
 
Kongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa.

Kongole Makolokolo kwa kuzindua app...
Kupandisha brand ni kuchafua za watu atafungwa subri simba watoe jezi aiwekee maujinga yake atajuana vunja bei maana anataka kuleta utopolo kwenyw brand kubwa tz
 
Serikali inafeli wapi kuajiri watu wa namna hii,

Makampuni makubwa ya simu, bank na kadhalika yanafeli wapi kuajiri watu wa namna hii,

Yaani Haji manara anajua amsha amsha saana.
Atafika mbali sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom