KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Kipaji cha kuzaliwa nacho kile huwezi kuigaSerikali inafeli wapi kuajiri watu wa namna hii,
Makampuni makubwa ya simu, bank na kadhalika yanafeli wapi kuajiri watu wa namna hii,
Yaani Haji manara anajua amsha amsha saana.
Atafika mbali sana kwa kweli