We kolokolo tuliaa dawa ikuingie baraaabara.Ngoja vipigo vya uwanjani vikianza kwa Utopolo ndo utajua kama hujui.
Ila vipigo hivyo vikigeukia kwenu mtauona huu mji kama AfghanistanNgoja vipigo vya uwanjani vikianza kwa Utopolo ndo utajua kama hujui.
Yaani sasa hivi Yanga wamekuwa kichekesho,wanawekeza kwenye propaganda badala kwenye Uwanja hadi kocha ameshaanza kuwastukia kuwa inahitaji miezi mitatu kupata muunganiko wa timu.Mpira wa kupigana vijembe, kuitana majina ya hovyo na makelele ya kubwabwaja umeshapitwa na wakati kabisa...
Kwa hao shikamoo jazz wenu wa kikongo waliotoka kwenye timu tuliyoifunga goli 4 hapa? Mnachekesha kweli kweli.Ila vipigo hivyo vikigeukia kwenu mtauona huu mji kama Afghanistan
Mtawafunga 4 wakiwa huko,wakija jangwani unajua shughuli yakeKwa hao shikamoo jazz wenu wa kikongo waliotoka kwenye timu tuliyoifunga goli 4 hapa? Mnachekesha kweli kweli.
Simba ambae yupo kambini Moroco kujifua kwa mazoezi na Yanga aliyevunja kambi kukimbilia ujio wa Manara,nani mwenye akili zenye afya?Ila vipigo hivyo vikigeukia kwenu mtauona huu mji kama Afghanistan
Wenye akili hawajisemi...Simba ambae yupo kambini Moroco kujifua kwa mazoezi na Yanga aliyevunja kambi kukimbilia ujio wa Manara,nani mwenye akili zenye afya?
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
tehe,,tehe,,Utopo buana,,,haya bwana,ngoja nile ugoro nishtue dishi!Wewe ndio utajua kuwa hujui na hukujua hilo
Kwa matendo yao tu utawajua.Wenye akili hawajisemi...
Makolo FC [emoji123][emoji123][emoji123]Kwa matendo yao tu utawajua.
Rivers utd nguvu moja.
Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
mimi ni shabiki wa simba damudamuMpira wa kupigana vijembe, kuitana majina ya hovyo na makelele ya kubwabwaja umeshapitwa na wakati kabisa...
Kupandisha brand ni kuchafua za watu atafungwa subri simba watoe jezi aiwekee maujinga yake atajuana vunja bei maana anataka kuleta utopolo kwenyw brand kubwa tzKongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa.
Kongole Makolokolo kwa kuzindua app...
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1312]
Kipare kolo ni ndevu hivyo wanatupa heshima zaidi hawa mlenda aka [emoji205][emoji205]Kizaramo KOLO ni mjomba, hivyo MAKOLO ni wajomba, bado mnatuheshimu mkituita WAJOMBA.
[emoji23] [emoji1787]