KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Aug 27, 2021 #21 dist111 said: Serikali inafeli wapi kuajiri watu wa namna hii, Makampuni makubwa ya simu, bank na kadhalika yanafeli wapi kuajiri watu wa namna hii, Yaani Haji manara anajua amsha amsha saana. Atafika mbali sana kwa kweli Click to expand... Kipaji cha kuzaliwa nacho kile huwezi kuiga
dist111 said: Serikali inafeli wapi kuajiri watu wa namna hii, Makampuni makubwa ya simu, bank na kadhalika yanafeli wapi kuajiri watu wa namna hii, Yaani Haji manara anajua amsha amsha saana. Atafika mbali sana kwa kweli Click to expand... Kipaji cha kuzaliwa nacho kile huwezi kuiga