Weka picha ya kijana anaevutia

Mim huyu hapa jamani Mungu anaumba kuna wanawake wanafaidi si mchezoo View attachment 444897 hebu weka na wako unaeona anavutia , huyu sio kadoda11 kweliii mmmh maana akikukaza vyuma lazima vikazee aiseee
Huyo mboga kama analiwa vile mchicha mwiba

Mchele mchele mtoto mrembo kapendeza na hereni za gold mdomo umelegea hahaahah

Wanaumeeeee eeeeeeehh!!!??[emoji3]
 
una hasira mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…