Weka picha ya kijana anaevutia

Una bahati sana maana ungewajibika kulisaidia jeshi kwa namna zote.
 
Ila huyo harmonize kakomaa sura Du syo Mchezo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu,daah wewe mkali kama radi,hayo mavituz yananipagawisha mimi aisee,yaani kama ya mke wangu mama Temba aka miss Chaga bhana.
dah humu ndani tunaeza chati na ma baba zetu wadogo bila kujua..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…