somalilady
Member
- Mar 8, 2021
- 23
- 27
Nitumie CV inbox
Kweli kaka sasa mm sipo dar es SalaamSawa ila kwa wale walio kwenye location moja na opportunity ni bora uende direct ofisini ina add value
Upo sahihi kaka nimeshatuma maombi kibao ila wapiHawa watu sio rahisi kuajiri walioko nje ya mfumo wao!
Good idea broHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Jamii forum mods mtu amekuja na jambo jema kwa uma wa watanzania tafadhali wekeni pin hapo juuMODS please huu uzi uwe pinned Waajiri na watu wenye nia njema na jobless wasipate shida
Usijali mkuuKama ukiipata nyingine ya madereva tutupie mkuu.
Status: Job seekerPia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.
Hadhi: Natafuta kazi.Pia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.