Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: JOB SEEKER
Gender: FEMALE
Profession: ECONOMIST & SOCIAL WORKER
Experience: PROJECT OFFICER FOR 3YEARS, ASSISTANT RESEARCHER, OFFICE COORDINATOR
Education level: BA ECONOMICS & SOCIOLOGY
Location: DAR ES SALAAM
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Good idea bro

Profession: procurement and supply (registered with procurement board (Psptb )

Experience: 2 years(procurement officer and store office )
3 year (sales supervisor)

Education: Diploma

Other profession : Driver ( certificate and driving license)
Location : Dar es salaam
Age : 27 years
Sex : Male
 
Pia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.
Status: Job seeker

Sex:Male

Age:29

Profession: Human Nutrition (Nutritionist)
Experience: 3 years

I can provide personalized advice on diet and nutrition based on an individual's health goals, lifestyle, and medical history.

I can also help develop meal plans and provide education on healthy eating habits.

I can also provide guidance on nutrition consultation to help individuals to make sustainable changes to their diet.

Additionally, as nutritionist I can do data entry,data analysis,data collection etc

Education level: Bachelor Degree from Sokoine University

Location: Dar es salaam.
 
Pia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.
Hadhi: Natafuta kazi.

Jinsia: Mwanaume

Umri:29

Taaluma: Lishe ya Binadamu (Mtaalamu wa Lishe).

Uzoefu: miaka 3.

Ninaweza kutoa ushauri wa kibinafsi kuhusu lishe kulingana na malengo ya afya ya mtu binafsi, mtindo wa maisha na historia ya matibabu.

Ninaweza pia kusaidia kuandaa mipango ya chakula na kutoa elimu juu ya namna nzuri ya kula.

Ninaweza pia kutoa mwongozo juu ya mashauriano ya lishe ili kusaidia watu binafsi kufanya mabadiliko endelevu kwenye lishe yao.

Kwa kuongeza, kama mtaalamu wa lishe ninaweza kuingiza data, uchambuzi wa data, ukusanyaji wa data nk

Ngazi ya elimu: Shahada ya Kwanza kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine

Mahali: Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom