Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

STATUS:JOB SEEKER.
AGE:35YRS
STATUS:SINGLE
PROFESSIONAL:ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) -ANAESTHETIST.
EXPERIENCE:
1. 2yrs as clinical officer
2.2yrs as Assistant Medical officer (Bachelor of clinical medicine and surgery)
3.3yrs as AMO-Anaesthetist
4. 1yr as Tutor in Anatomy,Physiology, surgery and forensic medicine .

EDUCATION: 1.Diploma in clinical medicine 2.Bachelor of clinical medicine and Surgery (BCMS)
3.Postgraduate cert.In Anaesthesia and Intensive care unit.
SKILLS :
1.Basic life support skills (BLS)
2.Advanced cardiovascular life support(ACLS)
3.Advanced Trauma life support skills (ATLS)
4.Theatre equipment repair and Maintainance .
LOCATION:MWANZA
We jamaa ni kiboko. CV imeshiba mpka nashangaa how come unakuwa jobless?? [emoji23]
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.

Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
HITAJI: kazi
UJUZI: sauti kuja ktk maandishi (transcribing)
UZOEFU: miaka 6
ELIMU: kidato cha nne
NINAPOISHI: Dsm
 
STATUS:JOB SEEKER.
AGE:35YRS
STATUS:SINGLE
PROFESSIONAL:ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) -ANAESTHETIST.
EXPERIENCE:
1. 2yrs as clinical officer
2.2yrs as Assistant Medical officer (Bachelor of clinical medicine and surgery)
3.3yrs as AMO-Anaesthetist
4. 1yr as Tutor in Anatomy,Physiology, surgery and forensic medicine .

EDUCATION: 1.Diploma in clinical medicine 2.Bachelor of clinical medicine and Surgery (BCMS)
3.Postgraduate cert.In Anaesthesia and Intensive care unit.
SKILLS :
1.Basic life support skills (BLS)
2.Advanced cardiovascular life support(ACLS)
3.Advanced Trauma life support skills (ATLS)
4.Theatre equipment repair and Maintainance .
LOCATION:MWANZA
Kweli ukistajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, nimebaki kukuombea uwe na bahati maana hii CV imesotewa sana.

Dunia ya kwanza ungekuwa unalamba hata M 50 kwa mwezi ukiwa mfanyakazi.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom