Richard Kasubi
Member
- Sep 16, 2018
- 64
- 53
Najaribu kukuchek pm sijakupata ndugu yanguFresh graduates karibuni PM kuna nafasi za internship mbili mahali ukifany vzr wanakuchukua.
My profileHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Daah
Wee utanifaa aisee session moja bei gani? Nataka kitibiwa sex addiction maana naona inanifilisiProfession: Counseling psychologist
Experience : 5 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kimara. Dar
OkokaWee utanifaa aisee session moja bei gani? Nataka kitibiwa sex addiction maana naona inanifilisi
: Sales Representative (Wholesale Expansion) - Motorcycle License RequiredSTATUS: JOB SEEKER
EDUCATION: BACHELOR OF ARTS IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.
LOCATION: DAR ES SALAAM
SEX:MALE
EXPERIENCE: ONE YEAR IN SALES AND MARKETING
Contact: 0769469274
Karibu rafikiWee utanifaa aisee session moja bei gani? Nataka kitibiwa sex addiction maana naona inanifilisi
Profession: Counseling psychologist
Experience : 5 years
Current I’m working with non-government organization called watoto wetu Tanzania as Counselling psychologist
Education level: Bachelor degree
Location: Kimara. Dar es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app