Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status : job seeker, Internships
Proffesion: Community Development Officer ( C. D. O)
Experience : One Year
Education level : Degree
Location (currently ): Dar es Salaam.
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
My profile

Gender: female

Experience: Fresh graduate

Status: job seeker /internship

Education level: Degree

Professional: social worker/ community development

Location: Dar es salaam

NB: Sijachagui kazi
 
Professional. Fundi ujenzi na decoration za nyumba ,uchoraji ramani ,ushauri wa ujenzi bora ,fungus treatment ,water proof treatment of hidden roof house
Experience. 8year
Location .now mbeya popote tunakufuata kukufanyia kaz
Call or WhatsApp 0757735884
Instagram highland_decor_solutions karibuni ushauri ni bure ndugu zangu sisi ndo wabobez wa nyumba za kisasa
Natoa offer raman ya vyumba vitatu nitakupatia kwa shi 50000 na ya vyumba vinne ni 100000 karibun
IMG_20230729_104757_4.jpeg
IMG_20230729_103036_5.jpeg
IMG_20230729_104812_9.jpeg
IMG_20230729_104822_0.jpeg
IMG_20230729_104743_5.jpeg
IMG_20230729_104842_1.jpeg
 
Status: Opportunistic

Education: Bachelor degree of Education, Entrepreneurship & leadership.

Age: 27 years

Note: I'm ready for any opportunity that will come forward

Contact: 0744808908/ 0738900697

Location: Gongo la Mboto, Dar es salaam
 
STATUS: JOB SEEKER
EDUCATION: BACHELOR OF ARTS IN HUMAN RESOURCE MANAGEMENT.
LOCATION: DAR ES SALAAM
SEX:MALE
EXPERIENCE: ONE YEAR IN SALES AND MARKETING
Contact: 0769469274
: Sales Representative (Wholesale Expansion) - Motorcycle License Required
IS NEEDED
submit their updated CV, along with a cover letter outlining their relevant experience and your enthusiasm for contributing to Komonoya's wholesale expansion. Please send your application to kanya@saintparts.co.jp
 
Back
Top Bottom