Adam john mbonile
Senior Member
- Oct 20, 2021
- 101
- 75
Hivi unaweza kuweka cheti Cha JKT kwenye ajira portal kwenye sehemu ya training au, maana kwenye other attachment hamna section ya jkt .Naombeni mnisaidie hapo ?
MY PROFILEHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Profession.......This is nice
My profile
Proffession: Hospitality
Experience : 4 years
Education: BA
Location: Dodoma
Professional: CHEMISTHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Ndio chief kuna changamoto mm naambiw nifungue through browserGood! kuna mtu anapata changamoto kufungua uzi wa PSRS kuchelewa placement
Duuuh aise ni kisanga mzee wanguNdio chief kuna changamoto mm naambiw nifungue through browser
wadau changamkaNatafuta anyone with valid credentials of working as a legal process server ,ajue drafting of court documents ,flexible in travelling within the country .
Sio lazima awe na degree or diploma but relevant in the said field with expirience .
Preferebaly awe male but if youre female i wont discriminate .
If you have referals from any previous state or lawfirm the better .Referal from your previous boss ni lazima.
Starting salary if you have all the above stats ,800k-1M Tshs.
You can physically deliver your documents at Mchopa and advocates behind CCM biulding offices at mnazi mmoja ,or brownmikan@yahoo.com .
Send only your CV's and referals and number ,DONT send any sensitive details like ID number (NIDA). Those picked will be called for follow ups ,deadline september 11 2023