Break Time
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 283
- 500
Kaka naiman ww ni social worker mwenzangu ambae una experience kwahiyo connection ukiipata usisite kuja hapa kunitafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina shida mkuu wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka naiman ww ni social worker mwenzangu ambae una experience kwahiyo connection ukiipata usisite kuja hapa kunitafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameeleza hapo.namna ya kuandika,mfanosasa mi graduate wa form four mwaka jana naweka wapi profile yangu kiongozi
Mmmmmmhmn wewe hauna ajira mbona unaonekana upo vema sana.
Ndio maana na mimi nikataka kufahamu.Bro umepigaj hii masters tayar ndani ya age ya 28 mkuu...
Au ulianza shule ukiwa na miaka 3..
Au kuna kutoka diploma mpaka masters
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa ubaya, ungeongeza na una leseni na cheti ingependezaStatus : job seeker
Profession: Driver
Experience : 7 years
Education level : Form IV
Location: Dodoma urban.
Understood, but july nategemea kuendelea na masomo so wacha nikae kando tu muda wangu bado.Ameeleza hapo.namna ya kuandika,mfano
Field : ujenzi
Education : form 4
Experience : 4 yrs
Location : eneo uliopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan masomo yatakuzuia hata kupata kazi za nje mkuuUnderstood, but july nategemea kuendelea na masomo so wacha nikae kando tu muda wangu bado.
Shukrani sana.
Inawezekanaje? Ongezea nyama kidogo mkuu
Asante kwa hoja mkuu narekebisha
Nachotaka kusema ni kuwaInawezekanaje? Ongezea nyama kidogo mkuu
Shukrani sana.
Hii ni unatafuta job amaFIELD: GEOLOGIST
EXPERIENCE: 4 years
OTHER SKILLS: HD Machine operator
1.RAB driller(260HP)
2.Diamond driller (60mm)
3.Jack hammer(RB)
Nina fanya pia Consultation kama una eneo/Chimbo lako la madini na unahitaji ushauri wa kijiolojia,uchimbaji na uchenjuaji.
Kama unatafuta leseni ya madini pia ninafanya kwa uzoefu nilionao Tanzania nzima kasoro zanzibar
Sasa mkuu masomo ya advance i.e science subjects inawezekanaje kufanya kazi za nje? Labda kwa mwanachuo.Nachotaka kusema ni kuwa
Ni unaenda kusona masomo yepi?
Je, huwez kupata kibarua cha ujez ukafany?
Sent using Jamii Forums mobile app