Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

njoo inbox kuna kazi ya accounting Dar es salaam, japo mshahara.kiduchu
 
Wakuu kuna MTU anafanya kazi bandari au anamjua mtu anafanya kazi bandari ya hapa DSM?
 
Mimi mtalamu mambo ya ulinzi na kisimia kazi Kwa uamifu kabisa wenye changamoto ya usimamizi kazi Yako itakuwa salama nimesomea kabisa
 
PROFESSION-PROCUREMENT IN LOG MGT
EXPERIENCE-6MONTHS
EDUCATION LEVEL; BACHELOR DEGREE
LOCATION - DAR ES SALAAM-KIGAMBONI

Nimemaliza TIA 2021; bacholor hainizuii kufanya kazi za ngazi ya chini kama certificate na diploma.

N:B nimesajiliwa na bodi ya manunuzi PSPTB(active member)
 
Kuna aliewahi kupata kazi humu au ndio tuna bahatisha ma-jobless?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…