Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

STATUS: JOB SEEKER.


PROFESSION: TUTOR.


EDUCATION: BACHELOR OF EDUCATION IN ADULT AND COMMUNITY EDUCATION.


EXPERIENCE: SIX MONTHS.


PHONE NO_:0756166405


CURRENT ADDRESS: DAR-ES-SALAAM.
kwamba hio address naweza.kuitumia barua na ikakufikia?
 
Status: Internship seeker
Education level: Bachelor of Science in Environmental Engineering
Experience: Entry Level
Location: Mwanza
 
Sex: MALE
Professional :FINANCE AND INVESTMENT PLANNING
Experience : 2 YEARS
Education : DEGREE IN DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING
Location : DODOMA
 
Bro umepigaj hii masters tayar ndani ya age ya 28 mkuu...
Au ulianza shule ukiwa na miaka 3..
Au kuna kutoka diploma mpaka masters

Sent using Jamii Forums mobile app


Tatizo una mawazo ya kizamani siku hizi degree wanahitimu wana miaka 21 mpaka 23 unashangaa 28 kuwa na masters? Uhoni matangazo ya ajira za serikali asa majeshi wanakwambia mwenye masters awe na miaka 26 au 30😂😂 dunia imebadilika kaka
Ebu imagini miaka 12 anamaliza darasa 7 huyo degree atakua na miaka mingapi?

Mwanangu ana miaka 10 yupo darasabla 6 ila ikifika august atakua na 11 na mtoto kaka yangu yuko kidato cha 4 ana miaka 15 akifika october atakua na 16 yrs,mpigie hesabu atamaliza degree na miaka mingapi?
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Profession: laboratory technician& Quality control
Experience: 2 years
Education: certificate
Location : Dar es salaam
 
Leteni mrejesho wakuu. Mana jf inatoaga Imani mwanzoni kama hujaizoea. wenye ajira zao wapi humu ila wengi mara ya mwisho kuingia hapa ilikuwa mwezi wa pili mwaka Jana.

Aliyewahi kupata kupitia Uzi huu aseme
Changamoto ya vijana wengi ukimtafuta ukamsaidia kupata kazi baadae wanakuwa na kiburi Cha kiwango Cha rami lawama unabeba uliomsaidia.
Watu wangekuwaga wanyenyekevu kama waliokuwa wakiomba kazi aiseee naamini wengi wangesaidiwa sana....
 
Mbona swala la kawaida imi nina miaka 23 nna degree nkiunga masters naipata nikiwa na miaka mingapi
 
Status: job seeker
Gender: Male
Age: 27 years
Education: degree in Aquatic Sciences and Fisheries
Experience: 2 years in Revenue collection
: 1 year in Fisheries and Conservation
Availability: as soon as possible
Skills: Computer skills, management, evaluation and decision making skills, negotiation skills, painting and drawing, presentation adventure, interpersonal and entrepreneurship skills.
Location: Dar es salaam
Contact: 0684739082; 0656208659; 0757942975

I'm ready to learn or being trained in any other fields
 
Changamoto ya vijana wengi ukimtafuta ukamsaidia kupata kazi baadae wanakuwa na kiburi Cha kiwango Cha rami lawama unabeba uliomsaidia.
Watu wangekuwaga wanyenyekevu kama waliokuwa wakiomba kazi aiseee naamini wengi wangesaidiwa sana....
Kama Kuna namna tusaidie mkuu! Watu tupo tofauti tofauti na background ni tofauti pia. Wengine wana shida za muda mfupo ila kwao wanajiweza hivyo shida ikiisha anajuona Bora zaidi ila tulio wengi tunahitaji kubadilisha maisha tuliyoyaacha nyumbani na tukipata pa kushika tunafanya vitu kwa malengo!

Upo sahihi ila naomba usiamini kama ni watu wote, kama una namna ya kunisaidia Mimi au hata mwingine naomba ufanye hivyo na Mungu atakubariki[emoji120]
 
Back
Top Bottom