Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Mwenye sifa ajaribu kuombaView attachment 2838273
Screenshot_20231210-091832_WPS%20Office.jpg
 
Wanaweza pata nafasi ila wanaume weengi wanaona haya kuhudumia. Hilo dogo
Kubwa kabisa binti ana mvuto wake kwenye biashara, hili liko wazi kabisa. Akitokea mwanaume mwenye uhitaji tutampa nafasi hata jikoni asaidie kazi za huko.
Umeelewekaa...
 
Name: DAVID NDILE
Education Level: BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE (chemistry) WITH ICT
Location: KITUNDA DAR ES SALAAM

Nafundisha Chemistry na Computer... LAKINI Pia Nafundisha Physics na Biology
Hata KAZI nyingne Halali Nitafanya Endapo itapatikana
 
Profession: Environment
Experience : 0 years
Education level: Bachelor degree
Location: Ubungo, Dar
 
Education: Bachelor Degree in Logistics and Transport Management
Experience: 3 Years. 2 yeas Working As Assistant Road Licensing and Monitoring Officer ( LATRA)
One Year, Working as Transport Officer.

Additional on that. I also Posses Certificate of Proficiency in Insurance, And Valid Driving License with Class D. Napenda kufanya kazi na kupenda ninachofanya
 
Status:job seeker
Education level: Advanced diploma
Proffesional: Accountancy
Experience:seven years
Gender:female
Location😀ar es salaam
Availability:as soon as possible
 
Status .. job seeker
Education level .bachelor degree
Professional .finance
Experience.7 years
Gender .males
Location .dar es salaam
Contact.0693392242
Availability..soon
 
Leteni mrejesho wakuu. Mana jf inatoaga Imani mwanzoni kama hujaizoea. wenye ajira zao wapi humu ila wengi mara ya mwisho kuingia hapa ilikuwa mwezi wa pili mwaka Jana.

Aliyewahi kupata kupitia Uzi huu aseme
 
Leteni mrejesho wakuu. Mana jf inatoaga Imani mwanzoni kama hujaizoea. wenye ajira zao wapi humu ila wengi mara ya mwisho kuingia hapa ilikuwa mwezi wa pili mwaka Jana.

Aliyewahi kupata kupitia Uzi huu aseme
Mimi bila bila mpaka leo.
 
Status:job seeker
Education level: bachelor degree
Proffesional: procurement and logistics
Experience: entry level
Gender:male
Location:dodoma
Availability:as soon as possible
 
Aliye anzisha Uzi alikuwa ana kitu , SEMA bado hajakimalizia
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Profession: Pharmacy
Experience : 0
Education level: Ordinary Diploma
Location: Kigamboni, Dar.
 
Back
Top Bottom