Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Professional: Teacher of Chemistry and ICTHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Nimeona turning and fitting nikawa interested nayo,kwa mtu aliyeko bongo wapi anaweza kuisomea hii na nikwamuda gani?Professional- Mechanical engineer
Education- Bachelor degree in mechanical engineering
Experience- 2 years
Employed as maintenence engineer in Carbon im pulp plant cip
Skills
1.Turning and fitting
2. Welding and fabrication
3.designing softwares (solid works, Autocad)
4. Plumbing
5. Automotive maintenence (excavator, wheel loader, diesel engines, 500 kva generators,petrol engines,motors rewinding)
6.hydraulic and pneumatic system maintenence
7. Air condition system maintenence
8. Designing of MEDIUM SCALE CIP/CIL
9. Maintenence of ball mills, hammer mills, cone crushers, agitators, slurry pumps, conveyors etc
Vyuo vya ufundi VETA wanafundisha. Course yake inaitwa Fitter & Turner Mechanics.Nimeona turning and fitting nikawa interested nayo,kwa mtu aliyeko bongo wapi anaweza kuisomea hii na nikwamuda gani?
Professional-Accounting
2 years experience on Bank reconciliation,Preparation of statutory deductions NSSF,PAYE&SDL,HESLB.Preparation of landing cost,reconciling customer accounts,Posting accounting documents and invoices on Quickbook,reconciling customer accounts.
Skills
Quickbook,Erpag,Ms excel,Ms word
🙏🙏🙏Tuma CV yako hapo. View attachment 3003406