Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Ninaweza kulima hekari kadhaa kwa mda kadhaa, shamba lolote na nina mkono wa kuotesha mazao haraka, haya jazia jazia nyamaWakulima tunaandikaje
HahahahaaNinaweza kulima hekari kadhaa kwa mda kadhaa, shamba lolote na nina mkono wa kuotesha mazao haraka, haya jazia jazia nyama
Ninalima kwa spidi zaid ya pawatilaHahahahaa
Sasa experience in what?status: job seeker
profession; Economic and finance
Education: Bachelor degree
Experience: 4yrs
Gender: Male
Location: Morogoro
in my professionalSasa experience in what?
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Proffession: Manufacturer and Seller of CoffinsHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada