Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Status: job seeker
Education: bachelor degree
Profession: education
Subject: geography and economics
Location:mwanza
Experience: 2 years
 
Nina certificate of laboratory technician.
Nina experience ya miaka 3 ya laboratory technician, laboratory analysis, quality control, quality assurance pia nina experience ya microbiologist na nina experience ya kuopareti equipments za lab mfno autoclave, water bath, pH,DMA lamina flow,incubator,distiller unit,sodium meter Kifupi nina mwangaz wa equipment za lab.pia nina experience ya utengenezaji wa pombe kali
 
𝗖𝗛𝗘𝗠𝗜𝗦𝗧𝗥𝗬 𝗔𝗡𝗗 𝗜𝗖𝗧 𝗧𝗘𝗔𝗖𝗛𝗘𝗥 Name: David Ndile Education: Bachelor of education in Science with ICT Experience: 2 years Age: 26 Computer Skills: Graphic design, and Programming Location: KITUNDA DAR ES SALAAM Am seeking for a teaching job, specifically on chemistry and ICT subjects 🙏
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.

Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.

My profile is as follows

Proffession: Social engineer
Experience : 4 years
Education: Bachelor of Arts in Computer engineering
Location: Tanga, majani mapana
Contact : 121
 
Proffesion; Skimmingi plaster and finishing,
Experience; 2 years,
Education; certificate in community development,
Location; mbeya.
 
Attachments

  • FB_IMG_1734201214758.jpg
    FB_IMG_1734201214758.jpg
    51.5 KB · Views: 5
Status: Job Seeker
Proffession: Electrical Installation
Experience : 5 years
Education: Ordinary Level, VETA Certificate
Location: Sumbawanga, Rukwa.
 
Professional: Education, geography and history
Experience:3 years of teaching
Education level: bachelor degree
Location: Tanga
 
Ismaili Hasani Rajabu

Need: Full time/ part time or contract employmemt.

course: Bachelor Degree in Procurement and Logistics Management.

Experience: 2 Years Experience: As a tutor Universal college of Africa 2023/2024, Head of Procurement and provision Unit Daarul arqaam schools 2024/2025, Tutorial Assistance Muslim University of Morogoro ( Part timer) 2024/ 2025 (now).
 
PROFESIONAL: DRIVER
EDUCATION: FORM 4
AGE: 34
EXPERIENCE: 7 YRS
LOCATION: ANYWHERE
 
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.

Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.

NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Proffession: Manufacturer and Seller of Coffins
Experience : 12years
Education: primary school Standard 4
Location: Dodoma
 
Back
Top Bottom