Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada

Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.

Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo

Mfano

Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.

Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.


Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane

twende kazi.
Status: Job seeker

Profession : Medical Laboratory
Technologist

Experience: 5 years

Level of Education : Diploma / full licenced or registered from Medical lab registration board of Tanzania

Location : Dar es salaam
 
Hitaji: kazi
Aina ya kazi: yoyote halali
Elimu:kidato cha sita
Jinsia: kiume
Umri: 30
Mahali: dar es salaam
Kazi nlizowahi kufanya
-kuuza duka la simu
-kuuza duka la vinywaji jumla
-usafi majumban (house boy)
-kuuza duka la mahitaj ya nyumban (retail shop)
-ulinzi (nmepta jkt)
-dereva boda boda
 
Good format nzuri ya profile from Nashpay
thanks Short na imejitosheleza the rest ni PM hapa ni profiles tu

Status: Job seeker
Profession: Environmental officer/ Safety Officer
Experience: 2yrs (Safety Officer)
Education level: Degree
Location: Dodoma Urban
 
Back
Top Bottom