Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
- Thread starter
-
- #121
Safi mkuu unaweza kuwaonyesha uzi pia, keep supporting.HR tuko nao huku Bar wakilewa wanagawa tu ajira bila kuzingatia vigezo hata muda wa kuingia huku JF hawana.
Good luck
LINKEDIN profile ni muhimu sana, Ahsante mkuuPia nawashauri nendeni LINKEDIN tengeneza profile yako, kule pia wanaona watu wengi. Pia unaweza kuikopi na kuipest hapa kwenye Uzi wako.
Niliwahi kuandika kuhusu LinkedIn miaka ya nyuma na watu wakatoa shuhuda. Wacha nijaribu kuitafuta ile thread
Safi mkuu, wadau shusheni ProfileUzi mzuri sana kwa kuunga mkono ninatota connection ya uhakika kwa mtu mmoja ila bado Kuna aina ya taaluma x inayotafutwa sijaiona uzoefu ataupatia kazini ikitokea tu itakua bahati yake
Status: Job seekerHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
LINKEDIN profile ni muhimu sana, Ahsante mkuu
Siko na ajira mkuuAll the best, uko na ajira kwa sasa? Au unataka kubadili kazi!?
Huu uzi niliusoma sana mkuuLinkedIn na Wabongo, Tujitathmini
Hujui omba uelimishwe,acha kulisha watu matango pori.www.jamiiforums.com
Siwezi kukuahidi but drop me your CV Kwa pm. Please hii sio ahadi tafadhaliSiko na ajira mkuu
Hahaha wa muda san, siku hizi nimechoka. Nimeangalia juzi Niko na followers kama 14,000Huu uzi niliusoma sana mkuu
Yes kuna madini ya kutosha sanaHahaha wa muda san, siku hizi nimechoka. Nimeangalia juzi Niko na followers kama 14,000
Umeshampata? I know someonePia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.
Sawa mkuuSiwezi kukuahidi but drop me your CV Kwa pm. Please hii sio ahadi tafadhali
Ukiandika una ujuzi gani itakuwa rahisiHitaji: kazi
Aina ya kazi: yoyote halali
Elimu:kidato cha sita
Jinsia: kiume
Umri: 30
Mahali: dar es salaam
Shukrani mkuuGood format nzuri ya profile from Nashpay
thanks Short na imejitosheleza the rest ni PM hapa ni profiles tu
Status: Job seeker
Profession: Environmental officer/ Safety Officer
Experience: 2yrs (Safety Officer)
Education level: Degree
Location: Dodoma Urban