Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
- Thread starter
- #181
kuna watu hawana maana mkuu ni migo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu hawana maana mkuu ni migo
Nitumie CV inboxProfile:-
Profession: Community Worker
Sex: Male
Age: 28
Level of education: Master of Community Development and Project Management
Experience: 3 years
Location: Mwanza, Musoma(Mara) & Dodoma.
Hawa watu sio rahisi kuajiri walioko nje ya mfumo wao!New Opportunity
Employer: UNICEF
Position: Supply Assistant
Location: Dar es salaam
Please visit UNICEF website for more.
Naambiwa kuna udini na uzanzibar sana hapa
Nitumie CV inbox
Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
Hello , through your idea I search for my position online and I see many positions although you forget me .New Opportunity
Employer: UNICEF
Position: Supply Assistant
Location: Dar es salaam
Please visit UNICEF website for more.
Vp mkuu ushampata mtu?Pia nahitaji nutritionist mmoja aliyepo dar nimdirect kwa mwajiri flani maeneo ya chole Msasani.
ProfileHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
Ndio mkuu nimemrefer mtu tayariVp mkuu ushampata mtu?