Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie CV inbox
Kaka kaka nashukur sana nawez sogea inbox mkuu??Nenda bandarini ukaombe kazi ya ukalani
Anzia pale kijiwe cha shefu Toi muulize atakupa maelekezo angalau upate hiyo laki 3 per month kwa kigoma sio haba
Mkuu naomba unifunze namna gani naweza kutengeneza pesa online kwa kua freelencerProfessional: Nutritionist and Public health expert
Education: B.Sc. Nutrition-SUA and MPH from Texila American University
Experience: 8+years in Managing health,Nutrition, WASH and Women Empowerment programs in INGO both in development and humanitarian contexts.
Current: A Freelancer and Consultancy on health and fitness
Mkuu elezea kidogo kuhusu kigoma. Sio haba kivipi?Nenda bandarini ukaombe kazi ya ukalani
Anzia pale kijiwe cha shefu Toi muulize atakupa maelekezo angalau upate hiyo laki 3 per month kwa kigoma sio haba
Safi sana mkuu, hii kubwa sanaPlease Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
Wew nenda tanesco usisubiri watangaze peleka CV tu hata Leo Anza kuomba kujitolea HAUTOJUTAStatus : job seeker.
Proffesion: Mass communication( Public relations)
Experience : customer care/ customer Representative
Education level : Degree
Location (currently ): Kahama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya kigoma ni nafuu saanaMkuu elezea kidogo kuhusu kigoma. Sio haba kivipi?
Life sio costs sana mkuuMkuu elezea kidogo kuhusu kigoma. Sio haba kivipi?
Exactly iko hvo mkuu, japo hali ya uchumi nchini ikizingua napo kuna vitu vina pandaMaisha ya kigoma ni nafuu saana
Master room 35K per month
Bakuri la mahindi shilingi Mia 60 ukisaga unapata unga kilo moja na nusu alafu kusaga ni Mia mbili
**Nenda bandarini ukaombe kazi ya ukalani