Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
- Thread starter
- #341
Opportunities
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi kwa 100%Muhimu watu waweke profile zao kupata au kutokupta ni Jambo jingine hta wakipta 10 ktk 200 bdo uzi utakuwa umefanikiwa na lazima ukumbuke hzi profile ztaendlea kubaki hpa so uhitaji ukiwepo ni rahisi kurejea hpa
Register linkeid kuna utaona nafasi nyingi.Status : JOB SEEKER.
Professional : AGRONOMISTS
Experience : 2 YEARS
Education level: BACHELOR DEGREE
Location : KOROGWE,TANGA
Regards..
Kwa hiyo sisi wa Morogoro ndiyo wabeba zege?Una hoja mkuu nashauri iwe hivi
Huu ni mfano
Natafuta kazi za ujenzi
Profile yangu
Field : Ujenzi
Experience : 4 years
Location: Morogoro MC
Msaada kwa huyu mdauMkuu naweza kupata Kazi ya ulinzi hapo nmehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato Cha sita PGM maana kwenye makampuni haya wanalipa hela ndogo mno yani mpaka aibu ila hakuna namna tunafanya tu.
Hii Qualification ni Medical Lab Scientist na wala si TechnicianStatus: Job Seeker
Profession: medical lab techinician(Bachelor of medical lab sciences)
Experience : 4 years
Education level: Bachelor/degree
Location : Manyara, Dodoma
Kwa hiyo wee jamaa unaona raha sana kucheza na wafu 🤣🤣🤣🤣STATUS:JOB SEEKER.
AGE:35YRS
STATUS:SINGLE
PROFESSIONAL:ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) -ANAESTHETIST.
EXPERIENCE:
1. 2yrs as clinical officer
2.2yrs as Assistant Medical officer (Bachelor of clinical medicine and surgery)
3.3yrs as AMO-Anaesthetist
4. 1yr as Tutor in Anatomy,Physiology, surgery and forensic medicine .
EDUCATION: 1.Diploma in clinical medicine 2.Bachelor of clinical medicine and Surgery (BCMS)
3.Postgraduate cert.In Anaesthesia and Intensive care unit.
SKILLS :
1.Basic life support skills (BLS)
2.Advanced cardiovascular life support(ACLS)
3.Advanced Trauma life support skills (ATLS)
4.Theatre equipment repair and Maintainance .
LOCATION:MWANZA
ivi tofauti nini nini katika JB ?Hii Qualification ni Medical Lab Scientist na wala si Technician
I know boss just waajiri wengi wanajua technicianHii Qualification ni Medical Lab Scientist na wala si Technician
Sina uhakika zaidi wa tofauti, ila niliwahi kujibiwa hivi nilipowahi kuuliza.ivi tofauti nini nini katika JB ?
niliwahi ona pale UD, wana BA in Education na BA with Education