Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
MzeeStatus: Job seeker
Profession: Human resources management
Experience: 2yrs (sales and marketing, Loan officer)
Education level: Degree
Location: RUFIJI - PWANI
Ni PM tuelekezane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MzeeStatus: Job seeker
Profession: Human resources management
Experience: 2yrs (sales and marketing, Loan officer)
Education level: Degree
Location: RUFIJI - PWANI
Waje kweli watupe mbinu hizo za kupata intership maan kila panapoguswa pamejaaNimeona profile nyingi za graduates pia, Ukiwa unaendelea kusaka ajira, ushauri wangu Internship ni kitu muhimu sana ndani ya miaka yako miwili mitatu baada ya kugraduate pia wadau humu wengi wanajua mbinu za kupata internship tusaidiane.
Ugumu naopitia kuitafuta hiyo Internships sijui ajira itakuwajeNimeona profile nyingi za graduates pia, Ukiwa unaendelea kusaka ajira, ushauri wangu Internship ni kitu muhimu sana ndani ya miaka yako miwili mitatu baada ya kugraduate pia wadau humu wengi wanajua mbinu za kupata internship tusaidiane.
Mdau naona umeamua kishusha habari, jamani lengo la uzi liheshimiwe .Status: Looking for Job/Internship
Education:
Bachelor of Tourism Management, Sokoine University of Agriculture, 2022.
Some of the Relevant coursework: Tourism, Environment and Development, Transport and Travel Management, Travel and Tourism Geography, Natural Resource Management, Business Law and Ethics for Tourism, Hospitality Management, Marketing for Tourism, Sustainable Tourism, Conventions/Meetings Planning and Management, Cultural Tourism, Resort and Leisure Management.
Professional: Tourism and Hospitality Management
Experience: Reservation agent, Tour guide, Sales and Marketing, Customer Relations.
Profile Summary: I am a motivated and enthusiastic professional with a bachelor's degree in Tourism Management. Throughout my academic journey, I have developed a strong foundation in the principles and practices of the tourism and hospitality industry, along with essential skills in management, marketing, customer service, and cultural sensitivity. With a passion for travel and a keen interest in exploring diverse cultures, I am eager to contribute my knowledge and skills to the field of tourism and hospitality.
haikuwa kwa ajili ya kukera, bali kwa kile nilichoona kinafaa kwanguMdau naona umeamua kishusha habari, jamani lengo la uzi liheshimiwe .
Sawa BA tourism una leseni nikuelekeze mahali ukapate Internship, una leseni?haikuwa kwa ajili ya kukera, bali kwa kile nilichoona kinafaa kwangu
hapana ndugu, bahati mbaya sina leseni, nipo kwenye harakati za kuipataSawa BA tourism una leseni nikuelekeze mahali ukapate Internship, una leseni?
ProfileNew opportunity
Employer: AZAM PAY
Position: SALES MANAGER
Location: Dar es salaam
Visit AZAMPAY WEBSITE FOR MORE
STATUS:JOB SEEKER.
AGE:35YRS
STATUS:SINGLE
PROFESSIONAL:ASSISTANT MEDICAL OFFICER(AMO) -ANAESTHETIST.
EXPERIENCE:
1. 2yrs as clinical officer
2.2yrs as Assistant Medical officer (Bachelor of clinical medicine and surgery)
3.3yrs as AMO-Anaesthetist
4. 1yr as Tutor in Anatomy,Physiology, surgery and forensic medicine .
EDUCATION: 1.Diploma in clinical medicine 2.Bachelor of clinical medicine and Surgery (BCMS)
3.Postgraduate cert.In Anaesthesia and Intensive care unit.
SKILLS :
1.Basic life support skills (BLS)
2.Advanced cardiovascular life support(ACLS)
3.Advanced Trauma life support skills (ATLS)
4.Theatre equipment repair and Maintainance .
LOCATION:MWANZA
Mimi ni dereva, nipe connectionSawa BA tourism una leseni nikuelekeze mahali ukapate Internship, una leseni?
Nilimaanisha tourism intern mkuuMimi ni dereva, nipe connection
Ooohhh, dah, haya wape wenye sifa zaoNilimaanisha tourism intern mkuu
je haiwezekani kupata bila ya kuwa na leseni?Nilimaanisha tourism intern mkuu