Popote alipo ajitokezeMwenye mvuto,Anaejielewa, mcha mungu
Mmmh[emoji87] [emoji87] [emoji87]Awe mcha mungu
Awe na heshima
Asiwe mshirikina
Asiwe mlevi
Anipende/tupendane
Ameelimika
We hujapata tu mkuuAwe na chura!
Mbona waguna.....vigezo na masharti kuzingatiaMmmh[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa