Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

vigezo vyangu n hivi vifuatavyo;

Muumin wa din ya kiislam

Aliyefika angalau juzuu 5 na kuendelea

hivyo tu vinatosha kwangu coz vimebeba vitu ndani...ahsante
Hawa wapo wengi nadhani huta pata tabu kumpata
 
Mkuu mbona umesahau mwenye kupenda kugegedwa na mtundu kunako? Au haya si kipaumbele kwako?

Vigezo vyangu ni hivi vifuatavyo;
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye huruma
Avumiliae kwenye shida na raha
Mwenye kujua wajibu wake
Apendae familia yetu
Mnyenyekevu
Mwenye tabia njema
Muelewa
 
Back
Top Bottom