Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

Mimi huwa nikimuona mwanamke mweupe huwa nina changanyikiwa,
Awe mweupe,
Na mcha mungu.
 
Sio mara moja huwa nasema napenda mwanamke mwenye "michirizi haswa"

Sio vimichirizi ila MICHIRIZI ya kutosha.
 
1. Mcha MUNGU
2. Awe na elimu kiasi
3. ajue kupika
4. anayejisitiri
5. mwenye upendo kwa watu wote
6. mrefu ila sio sana
7. asiwe mnena sana
8. asiwe wale wanaotaka 50% ya mshahara wakati MUNGU anahitaji 10% tu.
9. asiwe na umbea umbea
10. awe msafi asiyenuka k
11. ajue kufua nguo za mume
n.k
 
1. Mcha MUNGU
2. Awe na elimu kiasi
3. ajue kupika
4. anayejisitiri
5. mwenye upendo kwa watu wote
6. mrefu ila sio sana
7. asiwe mnena sana
8. asiwe wale wanaotaka 50% ya mshahara wakati MUNGU anahitaji 10% tu.
9. asiwe na umbea umbea
10. awe msafi asiyenuka k
11. ajue kufua nguo za mume
n.k
 
Back
Top Bottom