Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

Weka sifa ya mke umtakae hapa.!

1.Asie na gubu.
2.Mwenye hips pana kiasi na chura kwa mbali.
3.Mwenye kuijua nafasi yake kwangu,yani asiwe na kiburi,dharau ama jeuri.
4.Awe mvuto na haiba ya kike romantic kudeka kistaili ila asiwe malaya/mama huruma.
5.Mengine ntavumilia sio ishu ila hayo ma4 ya juu pieee!!!
 
Kigezo changu ni kimoja tu. Mke nimtakae awe na pesa kama mimi.
 
Awe na michirizi mguuni afu anyee mbalii kweli kwelii. Yaani akijamba Leo, kije kinuke baada ya miezi sita maana mpk kijambo kipate shida kujipenyeza kwene minyama.
 
Awe na michirizi mguuni afu anyee mbalii kweli kwelii. Yaani akijamba Leo, kije kinuke baada ya miezi sita maana mpk kijambo kipate shida kujipenyeza kwene minyama.
Doh! Asee!
 
Back
Top Bottom