Weka tunda unalolipenda hapa, na sababu za kulipenda

Tikiti maji, ndizi, parachichi, embe, nanasi, chungwa, papai nk. Yaani kiwango changu cha mapenzi kwa matunda ni extraordinary. Mara nyingi usiku nakula matunda tu.

Labda fenesi ndo tunda nisilotaka hata kusikia harufu yake.
 
Africa naona zetu ni chachu ila Thailand wanazo hizo Tamu
Ukijaribu huezi kuacha unamaliza box lote
Kama bongo hakuna acha nilete mbegu nizitambulishe home
Utakuwa umefanya jambo la maana sana mkuu πŸ‘πŸΌ
 
Yaani aina zoteee? Watoto wa afumbili sisi tunataka ufafanuzi
Nipo nchi ambayo hawalimi sana kwa sababu hali ya hewa hairuhusu

Sasa basi kuna Matikiti aina 20 toka kona nne za Dunia.
Kwa mfano ya kwetu ni Watermelon πŸ‰ kuna aina zingine 19 tofauti
Ila sijayala yote kasoro matano tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…