Weka tunda unalolipenda hapa, na sababu za kulipenda

Embe na Kiwi
kiwi and mango.jpg
 
Parachichi, hivi nimekula week mbili mfululizo kwa siku mawili au matatu, yanaongeza sana Ute kwa wanawake
 
Vise versa, kwa wanaume yanaongeza mbegu kwa kiasi kikubwa sana.
 
Back
Top Bottom