Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
Miye nawatafuta classmates wangu tuliomaliza moshi tech 1984 na chuo cha ualimu mkwawa 1987 na wale wa kombania d mafinga jkt operation miaka 20 ya azimio la arusha 1988.
bwana wa moshi tech kanikumbusha mbali sana. utadhani alifuatia nyayo zangu, mahala akaenda upande, japo pana gap ya 8yrs. moshi tech 1976, dar tech 1980, op tija mafinga jkt 1980/81 c coy. inafurahisha.
Duh we kweli muhenga watakuja subir jibuMiye nawatafuta classmates wangu tuliomaliza moshi tech 1984 na chuo cha ualimu mkwawa 1987 na wale wa kombania d mafinga jkt operation miaka 20 ya azimio la arusha 1988.
Mhenga mwenzanguMiye nawatafuta classmates wangu tuliomaliza moshi tech 1984 na chuo cha ualimu mkwawa 1987 na wale wa kombania d mafinga jkt operation miaka 20 ya azimio la arusha 1988.
Hadi natisha!Mhenga mwenzangu
Ni kweli mimi ni mhenga haswaaa! Ila ubongo wangu haujabana kama suriali na mashati yenu ya kamatia chini bali umepanuka kama suruali za bugaloo na T-shirt za snopy dogdogy!
Kumbe hum tupo nababu zetu.Miye nawatafuta classmates wangu tuliomaliza moshi tech 1984 na chuo cha ualimu mkwawa 1987 na wale wa kombania d mafinga jkt operation miaka 20 ya azimio la arusha 1988.