Weka unaemtafuta yupo wapi ujibiwe, Wangu hawa hapa wako wapi??!

Mie namtafuta Dada yangu anahitwa Benedicta (Kabene) kwao ni Kitaya Ibwera Bk kwa mara ya mwisho tulionana mwaka 1979 nasikia alikuwa anakaa Kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namtafuta Atuganile Mwaikenda amesoma kipoke secondary Tukuyu, kamaliza kidato cha nne kati ya mwaka 2002, 2003, au 2004. Mara ya mwisho nimewasiliana nae nikiwa Harare Zimbabwe 2003.
Kama kuna anayemfahamu PM tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…