Weka wazi ID ya kike inayokupagawisha hapa JF

Mimi yupo humu sema huwa najiskia vibaya sana maana huwa anaitwa shemeji sana..
 
Shunie mimi hoi jaman ,nakuzimia sana mrembo ,nikiona tu comment yako hasa ya mapenzi huwa nairudia mara 7*7 utadhani nineandikiwa mimi
nilitakaga niende PM lakin nkaskia et kaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…