Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Like beyonce knowlesMnyarwanda huyo mkuu, anaitwa butera knowles
Matata imekaa kimafumbo imebeba mengi hiyoMama umtata!!! Asha nge type?? Hah jokx
Hakuna mkamilifu mkuu, kila mtu ana udhaifu na uimara wake
Kweli kabisaa imenoga hatari kiasi mtu akiugua akakukuta hospital akidhan ni nurse anapona fastaaaSura tamu sana imetuliaaaa
Unapiga na mkono mtu akikuzingua sioMimi sio sistaduu ila ni mwanamke mmoja matata sana
Haaah huna habari...ndio hivyo dear..ID ziliunganishwa kumbe alikuwa ni DumeKwahiyo huyo ulimtagi ni me?
Mkong'oto wa maanaUnapiga na mkono mtu akikuzingua sio