Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana .
mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja onekana ni wimbo unaoweza muamasisha yoyote popote alipo kuongeza bidii na kupata kipato - ukapendwa mpaka leo .
I got five on it - LUNIZ
View: https://youtu.be/me3CPl_i4C4?si=ZP1-ylirKmoiRr37