Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
"If money grew on trees women would marry monkeys"Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana .
mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja onekana ni wimbo unaoweza muamasisha yoyote popote alipo kuongeza bidii na kupata kipato - ukapendwa mpaka leo .
I got five on it - LUNIZ
🤣🤣🤣🤣'mshamba, you can't afford me'
niliambiwa na mdada mmoja wa kishua
sijui nani alinidanganya naweza tongoza dem wa braeburn
inauma sana
hatari sana hahahaha'mshamba, you can't afford me'
niliambiwa na mdada mmoja wa kishua
sijui nani alinidanganya naweza tongoza dem wa braeburn
inauma sana
Old schoolNi siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana .
mimi ntakupa wimbo mmoja tu zamani wazazi waliuchukia sana sababu ulihusishwa na dawa za kulevya lakini ukaja onekana ni wimbo unaoweza muamasisha yoyote popote alipo kuongeza bidii na kupata kipato - ukapendwa mpaka leo .
I got five on it - LUNIZ
View: https://youtu.be/me3CPl_i4C4?si=ZP1-ylirKmoiRr37
old school ipi ?Old school