Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Msije sema sikuwaambia bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimeandika kila kitu hapo juu.Ni kwa ligi ya Tanzania pekee au ligi zote?
Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam.Mbona nimeandika kila kitu hapo juu.
SawaJapo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam
Hapo umeishamaliza mjadala.Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam
Uzi umeuua kwahoja nzurii mno iliyojaaa mifano💪Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam.
Mwaka 2012 Simba alikuwa bingwa wa ngao ya jamii lakini ligi kuu msimu akabeba yanga msimu wa 2013
Umempa jibu la ki professor sana kwa kumbukumbu rejeo umerudisha hadhi ya jukwaa.Japo sio sheria kwamba ni lazima itokee hivyo, raundi ya kwanza itatoa picha halisi ya mwenendo wa ligi. Yanga alikuwa bingwa wa ngao ya jamii mwaka 2013 lakini ubingwa wa ligi ukaenda kwa Azam.
Mwaka 2012 Simba alikuwa bingwa wa ngao ya jamii lakini ligi kuu msimu akabeba yanga msimu wa 2013