Wekeni usia au mirathi na itambulike kisheria .Sio umekufa ndio inatumika kama ushaidi

Wekeni usia au mirathi na itambulike kisheria .Sio umekufa ndio inatumika kama ushaidi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo na umri wetu huu wengine tuna wazazi wana mali japo tumezikuta na sisi tuna zetu.

Ila leo mzazi mmoja au wote wakafariki ndio utaona ile nyimbo ya "kwa mali za baba"

Kesi ni nyingi za mali na utapeli au wanyetaama utumia njia hiyo hiyo kujipatia mali.

Kama hapa JF nilipata wazo ambalo kwa nini usia au mirathi isitambulike mwanzoni na kuwa na usajili ambao utajulikana kwenye system.

Sio mtu kafa ndio unaona haya.
 
Back
Top Bottom